Tatoo mkononi mwangu

Tatoo mkononi mwangu

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Wakuu ni hospitali gani ambayo wanaweza kunifanyia operation ndogo ili nitoe hizi herufi mbili (tatoo) mkononi mwangu ambazo nilijichorwa nikiwa mdogo. na ni shillingi ngapi?

Au kama kuna dawa yoyote yenye majibu ya chapu chapu ya kufutia makovu tafadhal nitajie.

Ahsanteni.
 
niliona sehemu moja posta barabara ya samora karibu na jengo la Manji linalojengwa ambapo zamani kulikuwa na majengo ya kale nearly to TTCL kuna bango wameandika wanafuta tatoo za aina yoyote
 
Wakuu ni hospitali gani ambayo wanaweza kunifanyia operation ndogo ili nitoe hizi herufi mbili (tatoo) mkononi mwangu ambazo nilijichorwa nikiwa mdogo. na ni shillingi ngapi?

Au kama kuna dawa yoyote yenye majibu ya chapu chapu ya kufutia makovu tafadhal nitajie.

Ahsanteni.
Kweli fulishi eji zina shida sana
 
Back
Top Bottom