Tatoo sehemu za siri!!

Tatoo sehemu za siri!!

kwani unachotaka hasa ni ni? tatoo au nanahii? kama tatoo za maeneo fulani zinakupa taabu waweza piga mechi huku umefumba macho au appointment zote ziwe za usiku, na kabla ya mechi taa zote zinazimwa hadi main switch izime,tatoo haionekani mambo saaaaafi.
 
Nimeletewa moja na jamaa, ambapo mtoto alikuwa anamwomba baba yake akaweke tatoo kidogo tumboni, baada ya mabishano makubwa baba akamruhusu binti yake akatatoo, akiamini kwamba kwa umri wake miaka 13 na tena tumboni sio noma. Binti alipoenda kwa wajanja wa kutatoo wakamchorea samaki ambaye mdomo wake unazungukwa na mashavu ya k*** lake. Ukiiangalia picha hiyo, siku anapotaka kummesa mwensie inaonekana kama ile kitu itakuwa inameswa na samaki kabisa. Ni wa magharibi lakini, kwa ajili ya maadili picha hiyo siibandiki hapa.

Inasaidia kuongeza hamu ya mlaji anapokuwa anajiandaa kula mezani, kwani ndio wakati atakapokuwa na uwezo wa kuona kwa macho. Akianza kula si unajua macho hayaangalii 100% Ina maana binti anapokuwa safari za mwezini kule na APOLO, samaki hutapika damu. au samaki huyo anatapika maji ya haja ndogo.

Picha inayowekwa huko haioni kila mtu ila specials only. Dume linaweza kuchora mkuki au nyoka na kadhalika. Kipenda loho hula nyama mbichi.
 
asa, Noname,

ni kipi kisichokuwa na maana, tattoo haina maana? mbona kuna makabila mfano wamakonde, wao wanazo tabgu asili wala hawajaiga, sema inategemea ipo sehemu gani....

afu siye tunaiga lakini tunaharibu kuliko wao, mfano kama wanakula 10% kwenye ujenzi wa barabara kama commission, sisi tunalamba 90%, wapi na wapi?

uzuri au ubaya wa kitu kama tattoo ni very subjective na inategemea mtizamo wa mtu, kwangu mimi binafsi sina tatizo nayo.....in urembo tu
after visiting a tattoo parlor hopefully you will end up with a beautiful piece of body art that will last a lifetime. but b4 u go ahead to get ur tattoo done, u should know that that Tattoos can cause skin problems like red bumps caused by inflammation and keloid scars, and provoke allergic reactions, making skin itch and break out. These allergic reactions can occur with no warning, years after you get your tattoo. Getting a tattoo also puts you in danger of getting diseases like AIDS, tetanus, Hepatitis B and Hepatitis...
 
thanks for this info Noname, lakini kwani tattoo zote ni lazima kutoboa ngozi?
 
We utakuwa umekumbana na zeru zeru mie nimekimbizana na waaarabu sana
weuuupeeeeeeeeeeeeeeeeee ukifungua zip duh sijaona weupe wa kuonyesha
tatoooo...yamkini zeru zeru possible na hao aturuhusiwi kuwasema wana remove stress
sijakupata kabisa, unamaanisha nini, au ulitaka tujue kuwa umewahi kukumbana na waarabu, c'on man be realistic, make umeenda nje ya maada kabisa, zeru zeru katoka wapi hapa, au wewe racist
 
mwanahalisi mi ukiniuliza nitasema ni big no labda mie mshamba lkn tattoo mwilini mwangu ni no no,ni vitu vya kuiga sio utamaduni wetu na mie nikimuona demu na tattoo naona kama kapinda fulani sorry kwa wenye tattoo lkn huo ni mtizamo wangu.

hivi mbongo ukuulizwa utamaduni wako ni upi utaweza kujibu kweli, make utaona wabongo kila kitu wanasema sio utamaduni wetu, jamani mimi naona hakuna kitu kilizaliwa sehemu moja, mbona hata marekani kwenyewe wanakopenda tatoo watu weusi ndo utakuta wamechorahata kwenye ulimi? au kuvaa eleni wengine watasema sio utamaduni wetu--------lakini mimi naona hapa kuna nadharia ya woga, tuseme tu wabongo ni waoga sana kujitambulisha na kitu fulani, make hata wakati Muziki wa bongo fleva watu walisema huo sio muziki wetu, lakini cku kadri zinavoenda utakuta wazee wanatingisha vichwa na wengine hucheza kabisa
 
thanks for this info Noname, lakini kwani tattoo zote ni lazima kutoboa ngozi?

My pleasure Kaizer... yes lazima watoboe ngozi na sindano ... thats how its done
 
Mh kwa wadada wa kibongo sio utamaduni wetu kuweka tatoo sehemu sehemu maana maswali yatakuwa mengi najua wengi wanapaka PIKO tuu labd aujaribu wadada wa kimangharibi😎

Maria ebu tufafanulie hiyo PIKO ndo nini, make wengine hatuna utalaamu na hivi vitu
 
My pleasure Kaizer... yes lazima watoboe ngozi na sindano ... thats how its done

mimi nafikiri sio kweli, kuna tattoo za kuchora bila kutumia sindano, and they not for life, ni temporary ones, na ningeshauri kwa yule anayependa tattoo better uchague isiyo tumia sindano, na you will look hand/beauty kama kawa.

so sio tattoos zote zenye madhara
 
thats called fake tattoos (temporary) it is not real tattoo ppl are talking here,, temporary tattoos include Airbrushing, Pencil transfers, Permanent markers, Eyeliner and Henna...

I even had myself those tattoos
 
wow, sasa kwa nini uliamua kuziacha? hizo tempo ndo safi...do ze nidiful apo
 
Pdidy acha uswahili. Si useme tu ulikula mzigo ndo ukaiona hiyo tatoo ya huko ikweta unakosema. Nani anayeweza kukuruhusu upige deo hadi uone hayo yote. otherwise huna urijali.

mi mwenyewe nilitaka kuulizia hili nikaogopa neno

""rijali"" nisijefungiwa haya mwaya pdidy tuambie
 
Back
Top Bottom