Lahaulah wallah Quattah, Mungu apishe mbali!
Sijafundwa hivo na Anti yangu. Yanahusika vipi hapa?
Halafu akija tu namuomba twende club, napiga hii hapa:
View attachment 51167
mie tayari mboko ninazo.
Nikuletee uwashie moto??
Haya sasa, na huyo kesha nitamani.:nod::yell:labda hiyo tattoo inasomeka 'suez canal for sale' kwa kichina:A S-fire1:
Please usimwambie Anti, atanipiga hadi nishindwe kukaa.:yell::yell::yell:
Laanakum mtoto weye. Ila hayo makalio hata ya kichaga sio hivyo aisee, did u have ana accident or something?
Mchina anahitajika in these rare cases:nod:
Huyu Mwali anavuta bange, mboko achana nazo tutapikia chai, anahitaji rehab
:smash:
Haya sasa, na huyo kesha nitamani.
wanacho shindwa kuelewa ni kwamba
Sometimes wasichana tunataka kua sexy
just for our own pleasure. Sio kwa kuvutia
Please men, restrain your appetite.
King'asti, umependa hiyo ya Mwali by night?
Please usimwambie Anti, atanipiga hadi nishindwe kukaa.
Hayo makalio ni natural, original. Mchina wa nini?
watu wanashindwa kuelewa kua nguo inaweza kusaidia sana
Kuna watu (kama mimi) wanajua kutumia nguo to their advantage.
unaona vile nimeweka makalio yangu on the front line?
Tatizo lako King'asti ni kwamba you think like a womanMhhh!
Hapo hata walau skin tite ya masponji inahusika! afu ww makalio yako yanaenda kwa mbele zaidi, ni congenital ama ? mi sijaelewa aisee
Najua CM. Asante kunikumbusha.
Nimeiweka profile picture ya facebook.
Kama ulikuwepo mpenzi. Yani comment kibao!sipati picha wanavyokusumbua uwa add na kukujazia inbox yako wakibembeleza.
Uwe na pasaka njema mamito.
Kama ulikuwepo mpenzi. Yani comment kibao!
wanawake kwa wanaume, wote wanauliza kama kweli ni mimi,lol
wanaona ni kama star fulani hivi, wanashindwa kuamini macho yao.
Halafu kinacho wamaliza ni style, hii sio ya huku. itavuma TZ in 2014
We lead, others follow! :first:
kuna shape zingine jmani khaa!
Hamna neno Amyner, ila usitegemei itakupendeza kama ilivo nipendeza.
Unajua hii imekaa sawa sababu ya natural shape yangu, sio pedo tu kama pedo.
Nikiangalia Avatar yako mbona naona mtu tafauti, au umeweka na mkororgo?Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje
Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote
Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo tu.
Wanaume waliniangalia sana na macho ya tamaa, nikajifanya siwaoni
Day versionView attachment 51160