Tattoo ya Hayati Magufuli kwenye mguu wa Harmonize

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni

Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki .

Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu

USSR
IMG_20220408_131757.jpg
 
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni

Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki .

Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu

USSR View attachment 2180391
Pesa za Kikwete alikula Marlow, pesa za Magufuli kala huyu mmakonde, sasa ni awwmu ya mama wanakula kina shoro mwamba na wengine zamu yake imepita.

Nadhani utakuwa umeelewa ni kwa nini kachora hiyo tatoo, kwa mama huyo hana chake.

Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom