Tattoo ya "jicho" moja

Tattoo ya "jicho" moja

wote mnao toa maana yake hito mmeijuaje
 
hii ni illuminati symbol na si urembo kama huyo dada anavyodhani..wengi wanafuata mkumbo wa kuiga tu lakini kumbe wanatumika kupeleka ujumbe fulani bila wao wenyewe kujua ni agents. na hawa jamaa wanataka hizi symbols zao zituingie na tuone ni kawaida kupia music industry hususani popular culture, movies, games,majengo na hata cartoon za watoto!
 
jamani simo kwani cjatoa mm maana ya mchoro huo tuendelee kutoa mana
 
Back
Top Bottom