N tuzo za UEFA za mchezaji bora wa ulaya 2015/2016 kwan Messi hachezi ligi za ulaya [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Mkuu umeandika wakati unakata gogo nini? Mchezaji bora wa uefa sio lazima awe anatoka barani ulayaKwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Kwa kipi alichovuna msimu wa 2015/16Griezman atachukua
We ndo huelew kwa sababu unaendeshwa na mahaba ya kitaahira.....unaposema anatoka nje ya ulaya ilikuwaje mwaka jana akaichukua? Imekuwaje mwaka huu top ten akawepo? Hii ni tuzo kwa wachezaji wanaocheza ligi ya ulaya....mesi anacheza barca kwani iko asia?Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap
Mleta mada wewe chizi, waambie ndugu zako wakupeleke mirembe
Mchezaji bora kwa wachezaji wanao cheza katika vilabu vya ligi ya ulayaMessi ndiye mchezaji bora wa mwaka Ulaya
Lionel Messi ameshinda tuzo ya UEFA ya mchezaji bora barani Ulaya kwa mara ya tatu, na kumpiku Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na mwenzake wa Barca Luis Suarez. (Kutoka: DW/DHAA YA KISWAHILI / MICHEZO)
- Tarehe 28.08.2015
Mchezaji bora kwa wachezaji wanao cheza katika vilabu vya ligi ya ulaya
The UEFA Best Player in Europe Award is an association football award given to the footballer playing for a football club in Europe that is considered the best in the previous season. The award, created in 2011 by UEFA, is aimed at reviving the European Footballer of the Year Award (Ballon d'Or),[1][2] which was merged with the FIFA World Player of the YearAward in 2010 to become the FIFA Ballon d'Or.[3] It also replaced the UEFA Club Footballer of the Year awardMleta mada wewe chizi, waambie ndugu zako wakupeleke mirembe
Naam [emoji108][emoji122][emoji122][emoji122]Players change but Cristiano stays.