Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
List ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora Europe imetolewa leo huku Messi alieshinda tuzo hiyo mwaka jana akiachwa.

Ronaldo,Bale,Griezman ndio wanaowania tuzo hiyo.

Ronaldo anaonekana kuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda tuzo hiyo.
CpFakGTWAAAWzBO.jpg

Screenshot from 2016-08-05 16:06:07.png
 
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
 
Wastaarabu tunasema congratulations to Antoine Griezmann, Cristiano Ronaldo and Gareth Bale, for being nominated for the #UEFABestPlayer award. Lakini watakuja wanaojua sana kutoa opinion zao watasahau kwamba washindi wanachaguliwa kwa vote
 
Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap
 
Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap
We ndo huelew kwa sababu unaendeshwa na mahaba ya kitaahira.....unaposema anatoka nje ya ulaya ilikuwaje mwaka jana akaichukua? Imekuwaje mwaka huu top ten akawepo? Hii ni tuzo kwa wachezaji wanaocheza ligi ya ulaya....mesi anacheza barca kwani iko asia?
 
Mleta mada wewe chizi, waambie ndugu zako wakupeleke mirembe
 
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?

Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap

Mleta mada wewe chizi, waambie ndugu zako wakupeleke mirembe

Messi ndiye mchezaji bora wa mwaka Ulaya
Lionel Messi ameshinda tuzo ya UEFA ya mchezaji bora barani Ulaya kwa mara ya tatu, na kumpiku Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na mwenzake wa Barca Luis Suarez. (Kutoka: DW/DHAA YA KISWAHILI / MICHEZO)
  • Tarehe 28.08.2015

0,,18678377_303,00.jpg
 
Mchezaji bora kwa wachezaji wanao cheza katika vilabu vya ligi ya ulaya
 
Mleta mada wewe chizi, waambie ndugu zako wakupeleke mirembe
The UEFA Best Player in Europe Award is an association football award given to the footballer playing for a football club in Europe that is considered the best in the previous season. The award, created in 2011 by UEFA, is aimed at reviving the European Footballer of the Year Award (Ballon d'Or),[1][2] which was merged with the FIFA World Player of the YearAward in 2010 to become the FIFA Ballon d'Or.[3] It also replaced the UEFA Club Footballer of the Year award
 
Back
Top Bottom