Wanajua kazi anayoifanya kijana, hata kama hawampi ila wanamuelewa.Players change but Cristiano stays.
Huyo ashakua habari ya jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo tuanze kumsahau Messi nini?
Sio kwa kufulia huku.
Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap
Naunga mkono hoja tena suarez nilishangaa mwaka jana wakamtosa kwny baloon'dor wakamuweka neymar, mwaka huu haina namna wamuweke baba bennyNitashangaa messi akiingia kwenye top 3 ya wanaowania baloon Dior ... Top 3 yangu ni CR7, Griezman na Suarez
Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka
Huo ndo ukweli na utabaki kuwa hivoMessi's fan girl spotted. Sema Messi kakufanya wewe upende mpira, usiwasemee watu wengine kama wamekutuma. We vipi?
NimekubaliPlayers change but Cristiano stays.
Hahaha sema messi alikufanya upende mpira wa miguu. Football ilianza kabla messi na Watu bado walipenda.Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka
Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka
Umepuyanga mkuu mesi.alikuemo ktk mchakato huo ila point hazikutoshaKwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]League:-
Ronaldo:
46 goals,18 assists
Bale:
19 goals,14 assists
Griezmann:
21 goals,9 assists
UCL:-
Ronaldo:
16 goals,6 assists
Bale
3 goals,4 assists
Griezmann
8 goals,3 assists
Euros:-
Ronaldo
3 goals,3 assists
Bale
3 goals,2 assists
Griezmann
6 goals,4 assists
Period [emoji135]no doubt ronaldo deserve it