Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

Mara hii mchezaji bora wa ulaya ni jina tofauti na Ronaldo na messi,
 
Players change but Cristiano stays.

13938522_1280303231994434_3586384191867232401_n.png
Wanajua kazi anayoifanya kijana, hata kama hawampi ila wanamuelewa.
 
League:-
Ronaldo:
46 goals,18 assists

Bale:
19 goals,14 assists

Griezmann:
21 goals,9 assists

UCL:-
Ronaldo:
16 goals,6 assists

Bale
3 goals,4 assists

Griezmann
8 goals,3 assists

Euros:-
Ronaldo
3 goals,3 assists

Bale
3 goals,2 assists

Griezmann
6 goals,4 assists
 
Mwaka huu CR7 akinyimwa tuzo Ikulu itatoa kibali cha maandamano nchi nzima, kuanzia kaya mpaka taifa.
 
Mleta Mada hujielewi, unamshabikia messi hujui anatoka wap

Haijalishi unatoka wapi, bali unacheza wapi. Akina George Weah, Ronaldo de Lima, Ronaldinhho, Maradona, na hata mwenyewe Messi walishawahi kuwa wachezaji bora wa ulaya. Kwa kufupi, mwaka huu mambo hayakumuendea vizuri Messi
 
Nitashangaa messi akiingia kwenye top 3 ya wanaowania baloon Dior ... Top 3 yangu ni CR7, Griezman na Suarez
Naunga mkono hoja tena suarez nilishangaa mwaka jana wakamtosa kwny baloon'dor wakamuweka neymar, mwaka huu haina namna wamuweke baba benny
 
Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka
 
Messi's fan girl spotted. Sema Messi kakufanya wewe upende mpira, usiwasemee watu wengine kama wamekutuma. We vipi?
 
Messi ni mchezaji bora wa Dunia na ulimwengu mzima sio tu ulaya jueni hilo na yeye ndo anaye fanya watu wapende Mpira na sio kama hao wengine wanaofanya watu waipende Madrid tuuiu. Sisi tunapenda soka
Hahaha sema messi alikufanya upende mpira wa miguu. Football ilianza kabla messi na Watu bado walipenda.
 
Kwani Messi ni wa Ulaya? mkuu au umesukumwa na mapenzi zaidi ua chuki?

Wewe Ndugu yangu masuala ya soka naona yamekupita kando kidogo...usimshutumu mwezio wakati masuala yenyewe ya soka yanakupiga chenga...
 
League:-
Ronaldo:
46 goals,18 assists

Bale:
19 goals,14 assists

Griezmann:
21 goals,9 assists

UCL:-
Ronaldo:
16 goals,6 assists

Bale
3 goals,4 assists

Griezmann
8 goals,3 assists

Euros:-
Ronaldo
3 goals,3 assists

Bale
3 goals,2 assists

Griezmann
6 goals,4 assists
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
no doubt ronaldo deserve it
Period [emoji135]
 
Back
Top Bottom