Nimeshangaa sana kusikia tangazo la Tatu Mzuka ambalo jamaa anamshanga muuza duka kujaza vitu dukani na anamwita ni Freemason.
Yaani nyie Tatu Mzuka mnawezaje KULINGANISHA UTAJIRI NA FREEMASONS? Na nyie mmekua na imani za mtaani kiasi cha kuchafua jina lenu kipumbavu hivi? Mmekosa weledi kabisa. Watu hodari kuongea mlionao kama Seba hata wao wameshindwa kuliondoa neno Freemason kwenye tangazo.
Hakika mmenishngaza na siwaelewi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app