Tatu Mzuka na Freemasons

Tatu Mzuka na Freemasons

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
Nimeshangaa sana kusikia tangazo la Tatu Mzuka ambalo jamaa anamshanga muuza duka kujaza vitu dukani na anamwita ni Freemason.

Yaani nyie Tatu Mzuka mnawezaje KULINGANISHA UTAJIRI NA FREEMASONS? Na nyie mmekua na imani za mtaani kiasi cha kuchafua jina lenu kipumbavu hivi? Mmekosa weledi kabisa. Watu hodari kuongea mlionao kama Seba hata wao wameshindwa kuliondoa neno Freemason kwenye tangazo.

Hakika mmenishngaza na siwaelewi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ndo hujaelewa. Wewe unachofanya hapa ni moja ya malengo yao huko waliko watakuwa wanagonga glass na kufurai kuwa kuna watu mnalipa airtime tangazo lao pasipo nyie kujua na pasipo wao kuwalipa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom