Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka.

Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa.

Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
 
Uzi tayari 😁😁😁
Anyway achana na ayo ya buku ten material yake sio mazuri, Toboka ndio utapata ki2 chenye ubora mzuri na hayata punyuka
 
Pole... Ungelifua ilo taulo kwanza mkuu..
 
Uzi tayari 😁😁😁
Anyway achana na ayo ya buku ten material yake sio mazuri, Toboka ndio utapata ki2 chenye ubora mzuri na hayata punyuka
Hajalifua huyu.. Ndo maana anaona inatoka nyuzi mkuu😎
 
Back
Top Bottom