Tausi akanusha kutoka na Hemed PHD

Tausi akanusha kutoka na Hemed PHD

Muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi, amesema hana mahusiano yeyote nje ya kazi na Hemed PHD huku akisema huwa wanakutana kambini na hana hata namba ya simu ya msanii huyo.

View attachment 416302

Tausi ameibuka na kusema hivyo baada ya kuwepo uvumi wa kujimwaga na staa huyo ambapo aliiambia eNewz “Hemedy ni msanii mwenzangu tu na nilipokuwa nyumbani nilikuwa namuona tu kwenye TV na mara ya kwanza nilipokutanishwa naye na meneja wangu Lamata ilikuwa ngumu hata kuongea naye na nilitetemeka saana na nilikuwa mwoga saana”.

View attachment 416303

Mbali na hilo, Tausi, alizungumza kuhusiana na wavulana ambao wamekuwa wakitamani kuwa naye huku wakijiuliza wataishi vipi na yeye akisema hakuna jambo ambalo haliwezekani kwani hata yeye ana ndoto za kuishi na mwanaume na kuwa na watoto wasiopungua 12.
Naona mmeamua kujitangaza kimtindo
 
Wengine wanapenda ku-tast za kila aina,kujua tu huyu mbilikimo inafika wapi,wanabidukaje na vitu kama hivyo..nakumbuka Kariakoo alikuwepo mmoja sasaivi marhum kuna askari wa Msimbazi alikuwa anaweka bunduki pembeni anavua gwanda kwa ajili yake,sijui wana nini adimu hawa watu.
Mtoto fukunyuku w ewe ulikuwa ukiwashikia miguu shaurilo
 
Muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi, amesema hana mahusiano yeyote nje ya kazi na Hemed PHD huku akisema huwa wanakutana kambini na hana hata namba ya simu ya msanii huyo.

View attachment 416302

Tausi ameibuka na kusema hivyo baada ya kuwepo uvumi wa kujimwaga na staa huyo ambapo aliiambia eNewz “Hemedy ni msanii mwenzangu tu na nilipokuwa nyumbani nilikuwa namuona tu kwenye TV na mara ya kwanza nilipokutanishwa naye na meneja wangu Lamata ilikuwa ngumu hata kuongea naye na nilitetemeka saana na nilikuwa mwoga saana”.

View attachment 416303

Mbali na hilo, Tausi, alizungumza kuhusiana na wavulana ambao wamekuwa wakitamani kuwa naye huku wakijiuliza wataishi vipi na yeye akisema hakuna jambo ambalo haliwezekani kwani hata yeye ana ndoto za kuishi na mwanaume na kuwa na watoto wasiopungua 12.
Hongera mleta Mada leo nimejua kwamba kuna msanii Bongo movie anaitwa Tausi alaf ni Mfupi kupita kiasi
 
Back
Top Bottom