joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waongo hao, vipi waendelee kumsaidia Amin kupitisha silaha, kipi kina athari kubwa katika vita?, kumpa adui yako silaha tena za kisasa na nyingi, na kumis direct ndege moja tu, hao jamaa sio ndugu zetu, hao ni majirani zetu, na ingewezekana kuhama, basi tungeibeba Tanzania tukahamia katika ya Zimbabwe na Angola, tukawakimbia hawa jamaa.laakini kuna story zina dai ya kuwa Kenya walisaidia kumis direct ile ndege ya mshenzi gadafi ikaanguka ... sijui kama ulishawahi kusikia hili ?
hahahah hapana bwana ktk swala la silaha Libya ndio walikuwa wana msupport Amin dada ..sijui lkn the other side of coin ... kama ni kweli bas hawa Kenyan sio kabisaaaWaongo hao, vipi waendelee kumsaidia Amin kupitisha silaha, kipi kina athari kubwa katika vita?, kumpa adui yako silaha tena za kisasa na nyingi, na kumis direct ndege moja tu, hao jamaa sio ndugu zetu, hao ni majirani zetu, na ingewezekana kuhama, basi tungeibeba Tanzania tukahamia katika ya Zimbabwe na Angola, tukawakimbia hawa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaru, magari ya kivita na mizinga ni lazima ije kwa njia ya bahari, haviwezi kupitia angani, Uganda hutumia bandari ya Dar na Mombasa tu, kama sisi tulikua vitani na Amin, je silaha alizopewa na Gaddafi zilifikaje Uganda?hahahah hapana bwana ktk swala la silaha Libya ndio walikuwa wana msupport Amin dada ..sijui lkn the other side of coin ... kama ni kweli bas hawa Kenyan sio kabisaaa
zilikuwa zina shukia Sudani japo sina uhakika ngoja nitajifunza hapo ktk iloVifaru, magari ya kivita na mizinga ni lazima ije kwa njia ya bahari, haviwezi kupitia angani, Uganda hutumia bandari ya Dar na Mombasa tu, kama sisi tulikua vitani na Amin, je silaha alizopewa na Gaddafi zilifikaje Uganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta utarudi kuniambia zilikua zinapitia Mombasa, usiache kutujuza uone hawa majirani wetu walivyo.zilikuwa zina shukia Sudani japo sina uhakika ngoja nitajifunza hapo ktk ilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuelewa ila huyo jamaa nafikiri yupo kilimanjaro so ni karibu kwake
Akija nitag
God save us