joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waongo hao, vipi waendelee kumsaidia Amin kupitisha silaha, kipi kina athari kubwa katika vita?, kumpa adui yako silaha tena za kisasa na nyingi, na kumis direct ndege moja tu, hao jamaa sio ndugu zetu, hao ni majirani zetu, na ingewezekana kuhama, basi tungeibeba Tanzania tukahamia katika ya Zimbabwe na Angola, tukawakimbia hawa jamaa.laakini kuna story zina dai ya kuwa Kenya walisaidia kumis direct ile ndege ya mshenzi gadafi ikaanguka ... sijui kama ulishawahi kusikia hili ?
Sent using Jamii Forums mobile app