TAWA: Ongezeko la Tembo ni hatari kwa maisha na mali za watu, Mamlaka iruhusu Uvunaji wa Pembe kwa faida ya Nchi

Msituchanganye. Juzi tu tunalia kwisha kwa tembo. Uzazi wao si kama panya,leo tayari wawe wengi hadi inakuwa tatizo?

Hebu mtutoe shaka
 
Anatengeneza mazingira ya serikali kufanya biashara ya magendo ya vipusa. Meno ya tembo si yanaozea kwenye maghala ya setikali kwa biashara hii kupigwa marukufu kimataifa. Sirikali badala ya kutafuta jisi ya kupata ruksa kuuza rasilimali hii duniani inahangaika kwenda kuomba mikopo na covid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…