TAWA wafafanua kuhusu habari ya Tembo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii

TAWA wafafanua kuhusu habari ya Tembo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mamlaka ya ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) wafafanua kuhusu ongezeko la Tembo baada ya kunukuliwa vibaya. Ongezeko la Tembo halihatarishi maisha ya Watu na Mali. Uwindaji hufanywa kwa mjibu wa Sheria na Sera ya Wanyamapori ya 2007.

Zaidi, soma:

IMG-20220913-WA0016.jpg
IMG-20220913-WA0017.jpg
 
Hili tangazo la kutaka kuwinda Tembo wetu kwanini linatolewa sasa na si kipindi cha Mwendazake ?.
 
Mmetishwa. Ile kauli yenu ya kwanza ndio sisi tutaifanyia kazi
 
Kweni makamu mwenyekiti anasemaje, wapunguzwe?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viazi kweli hawa! Eti "baada ya kunukuliwa vibaya".

Yamepewa dhamana ya kulinda wanyama alafu yanaanza kutokwa na udenda wa ujangili
 
Back
Top Bottom