Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi. Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA)...