A
Kama hawajafika miaka 18 kisheria si hawawezi kuajiriwa, ama muktadha wa uzi wako ni
Wamekidhi vigezo vyote ndio maana sekretariat ya ajira imewaajiri. Huko makazini mkuu kuna watu wenye nyadhifa wanataka kujiona Miungu watu haswa maHR. Unafuta barua za ajira kwa askari et. Kisa umeona kamaliza kidato cha nne na umri mdogo wa miaka 15. Kweli!!!Kama hawajafika miaka 18 kisheria si hawawezi kuajiriwa, ama muktadha wa uzi wako ni nini
Sheria ya kazi labor law act umepitia lakini hususani kwenye kigezo Cha umri na aina ya kazi?Wamekidhi vigezo vyote ndio maana sekretariat ya ajira imewaajiri. Huko makazini mkuu kuna watu wenye nyadhifa wanataka kujiona Miungu watu haswa maHR. Unafuta barua za ajira kwa askari et. Kisa umeona kamaliza kidato cha nne na umri mdogo wa miaka 15. Kweli!!!
MA HR nimeandika kwa herufi kubwa, wanajionaga Miungu watu sana.Wamekidhi vigezo vyote ndio maana sekretariat ya ajira imewaajiri. Huko makazini mkuu kuna watu wenye nyadhifa wanataka kujiona Miungu watu haswa maHR. Unafuta barua za ajira kwa askari et. Kisa umeona kamaliza kidato cha nne na umri mdogo wa miaka 15. Kweli!!!