Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Mara nyingi wenye nguvu wamewatawala wengi kwa kuwadanganya-danganya. Wafalme walisema wao wanamandate ya Mungu. Wacommunist/wajamaa walijitia wanafanya kwa manufaa ya watu wote. Demokrasia ndiyo uongo kabisa, eti kila mtu ana mamlaka!Hakujawahi kuwa na Demokrasia ya Kweli since begging of time....
Kitu kimoja kizuri kuhusu huu Usanii ni kuwaaminisha Wananchi kwamba wao ndio wanaongoza hivyo kuridhika..., ila in reality nothing further from the truth....
Its not Power to the People bali Power to the Selected Few.... since its inception...