Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Mara nyingi wenye nguvu wamewatawala wengi kwa kuwadanganya-danganya. Wafalme walisema wao wanamandate ya Mungu. Wacommunist/wajamaa walijitia wanafanya kwa manufaa ya watu wote. Demokrasia ndiyo uongo kabisa, eti kila mtu ana mamlaka!Hakujawahi kuwa na Demokrasia ya Kweli since begging of time....
Kitu kimoja kizuri kuhusu huu Usanii ni kuwaaminisha Wananchi kwamba wao ndio wanaongoza hivyo kuridhika..., ila in reality nothing further from the truth....
Its not Power to the People bali Power to the Selected Few.... since its inception...
All political parties are the same And they play the same ballHakujawahi kuwa na Demokrasia ya Kweli since begging of time....
Kitu kimoja kizuri kuhusu huu Usanii ni kuwaaminisha Wananchi kwamba wao ndio wanaongoza hivyo kuridhika..., ila in reality nothing further from the truth....
Its not Power to the People bali Power to the Selected Few.... since its inception...
kifalmeHivi Saudia Arabia inaongozwa kidemokrasia,kifalme au kiislam?
Kifalme na Kiislamu.Hivi Saudia Arabia inaongozwa kidemokrasia,kifalme au kiislam?
Uongo wa demokrasia ni upi?Mara nyingi wenye nguvu wamewatawala wengi kwa kuwadanganya-danganya. Wafalme walisema wao wanamandate ya Mungu. Wacommunist/wajamaa walijitia wanafanya kwa manufaa ya watu wote. Demokrasia ndiyo uongo kabisa, eti kila mtu ana mamlaka!
Unafikiri wanavyosema serikali ya watu wanamaanisha nini?Uongo wa demokrasia ni upi?
Ulisikia wapi kwenye demokrasia ikisemwa kila mtu ana mamlaka?
Serikali inayochaguliwa na watu wengiUnafikiri wanavyosema serikali ya watu wanamaanisha nini?
Iran ndiyo inaendeshwa kiislamu.Kifalme na Kiislamu.
Hata fashisti anaweza chaguliwa na wengi. Wanamaanisha wananchi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya jinsi nchi iende.Serikali inayochaguliwa na watu wengi
Kama fashisti atachaguliwa na wengi wa raia hiyo nayo ndiyo serikali ya watu kwa ajili watu hao. Hao watu watakuwa mafashisti na wamechagua Fashisti mwenzao, ni gharama mojawapo ya demokrasia.Hata fashisti anaweza chaguliwa na wengi. Wanamaanisha wananchi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya jinsi nchi iende.
UK, Spain, UAE......Bado zipo, unaweza kuhamia huko.
Lesotho kwa Mswati, Morocco, Jordan, Saudi Arabia, Thailand.
UK na Spain ufalme umebaki kama mapambo tu ya kumbukumbu.UK, Spain, UAE......