Tawi la CHASO chuo kikuu cha Tumaini Tanga jana jioni katika kikao serious walimtoa madarakani katibu wao mwenezi baada ya kuingia mkataba na ccm kuhakikisha analizorotesha tawi hilo. Tazama tangu awepo madarakani hatuna kabisa vikao! ¡° hata hiki kikao kimeombwa na wadau¡° walisema wajumbe mbalimbali. Kamanda Omary Juma alisimikwa ili kusimamisha zaidi mipango hiyo! Akiondoka katibu hiyo alisaidia kutaja orodha ya watu wengine 20 wanaotumika kuhujumu CHASO chuoni hapa. Source nimehudhuria kikao