Tawi La IS Pakistan limedai Kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga

Tawi La IS Pakistan limedai Kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Tawi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu IS limedai kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga dhidi ya msikiti mmoja wa madhehebu ya Washia Pakistan lililosababisha vifo vya watu 31 na kujeruhiwa kwa wengine 169, huku waombolezaji wakikusanyika leo chini ya ulinzi mkali katika msikiti huo huo kwa mazishi ya waathiriwa.

Katika taarifa iliyochapishwa katika shirika la habari la Amaq, tawi hilo linajulikana kama IS Pakistan, lilidai kuhusika katika shambulizi hilo.

Inasema mshambuliaji huyo aliwafyatulia risasi walinzi waliojaribu kumzuia kwenye lango kuu la msikiti huo na kulipua bomu alilokuwa amelivaa mwilini katika lango la ndani.
 
tuko 2026 ,hizi stori bado zipo.. kweli binadamu ni viumbe vya ajabu.
 
Hapo utawasikia wana kuambia takbirrrrrrrrr

Ila uislam ni uchizi
 
Waislam mkiuwana nyie kwa nyie hivi sisi wala hatuna shida na nyie kabisa

Endeleen kuchinjana tu
 
Waislam mkiuwana nyie kwa nyie hivi sisi wala hatuna shida na nyie kabisa

Endeleen kuchinjana tu
Waislam kuuana wenyewe kwa wenyewe, yawezekana hata wakawa wanapongezana, maana wanaoendelea kuishi wanaona kama wanachelewa kwenda kuwawahi mabikira wenye matiti marefu, na kujichotea pombe kwenye mito. Yawezekana waislam waliobakia wakawa wanawaonea wivu wenzao waliofangulia, halafu wao wakati watakapoenda mabikira wakawa wameisha. Wanadai kuwa hao wanaojilipia huwa wanakuwa brainwashed kiasi kwamba huwa wanagombaniana nani aende kujilipua.
Ujinga ni mzigo mbaya sana!! Unaambiwa kuna starehe za kila aina Allah amekuandalia, kuanzia ulezi mpaka uzinzi wa kupindukia, na starehe zote unazoziona hapa Duniani, halafu anayekuambia hivyo, na kukuelekeza ukajilipue yeye yupo tu hapa hapa, hajilipui. Ina maana yeye hazitaki hizo raha?
 
Mwanaume ni kupigania Idea something not visible hakishikiki.

Hakika uo ukanda Afghanistan, Pakistan kuna wanaume haswa ukijichanganya ntu pori kutoka Africa ka chali kao ka kiume kanaweza pita na mbichwa wako, haki hiyo kanda ni chafuu. Kwanza Pakistan ina makomando nomar sana lakini vidume wanakula nao Sahani moja.
 
Back
Top Bottom