Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiishi na mwanaume atatuliatu tatizo kama ameolewa anaishi na mvulana.Ila we mdada uko na matatizo kichwani,unapenda sana ugomvi. Vitu vidogo vya kuvipotezea huwa huwezi kabisa.
Mwanamke akiepo kwenye ndoa hawezi shabikia huo urojoHawa TAWLA ni mawakala wa shetani wanaosambaratisha taasisi takatifu ya ndoa. Hii sheria ikipita ndoa nyingi zitavunjika na baadhi ya wanaume kwenda jela. Mimi nadhani itachochea zaidi vijana kukata ndoa na kuongezeka kwa single maza. Sheria itawadhuru zaidi wanawake.
🤣🤣🤣Aiseee namuonea huruma mwanamke wako duh so ni mwendo wa kumbaka tu
This is nonsense.Wanataka watu control hata kwenye nyumba zetu!? Kwanza Mungu ameagiza kwamba tusinyimane,so mwanamke kumnyima mumewe is going against Gods' directives.It's stupidity kufikiria kwamba a sane man can force her wife into sex kama kuna genuine reasons to the contrary.To me the very idea kwamba mwanamme anaweza kumbaka mkewe is demonic.Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia kimependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa.
#TAWLA imesema pendekezo hilo linafuatia ongezeko la kesi zenye Sura tofauti za Ukatili zikiwemo zinazohusiana na malalamiko ya Wanawake kulazimishwa kufanya Tendo la Ndoa pamoja na Kuingiliwa Kinyume na Maumbile.
Hadi sasa Sheria inatamka kwamba ni Kosa la Jinai kumlazimisha Mwanamke kufanya Tendo la Ndoa Bila Idhini Yake ambapo Wanaharakati hao wameshauri Kitendo cha Mume Kumbaka Mkewe Kitajwe na kitambuliwe kama Kosa la Jinai kwenye Sheria.
==============
Mjadala wa mume kumbaka mkewe jana ulikuwa ni miongoni mwa hoja za wanaharakati wa masuala ya kijinsia baada ya kushauri marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, sura ya 20 ili kumuwajibisha mume.
Sheria hiyo kwa sasa inatamka kwamba ni kosa la jinai kumlazimisha mwanamke kufanya tendo la ndoa bila idhini yake.
Hata hivyo, wanaharakati hao wameshauri pia kitendo cha mume kumbaka mkewe kitambuliwe kama kosa la jinai katika sheria hiyo kutokana na changamoto ya kukithiri matukio hayo kwenye ndoa.

MWANANCHI
Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Ni kuleta usumbufu kwa wanandoa. Impact yake utakuja kutesa watoto. Kwa nchi za AfricaChama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia kimependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa.