TAWLA yapendekeza Ubakaji utambulike kuwa Kosa la Jinai kwa Wanandoa

Lakin kwani kuna sehem wanawake wamelalamika ?
 
Ila we mdada uko na matatizo kichwani,unapenda sana ugomvi. Vitu vidogo vya kuvipotezea huwa huwezi kabisa.
Akiishi na mwanaume atatuliatu tatizo kama ameolewa anaishi na mvulana.

Akikutana na mnyambisi atakua balozi wa kuwatuliza hao TAWLA na wapambe wao
 
Mwanamke akiepo kwenye ndoa hawezi shabikia huo urojo

Hao wanawake nimawakala wakupinga ndoa. HAO HAWANA NDOA

KWANI WANAUME WAO HAKUNA WANAOBAKWA? IKITOKEA MWANAUME AKALALAMIKA KAMA ANALAZIMISHWA KUMUINGILIA MKEWE HAO TAWLA WANASEMAJE?
 
Kwenye ndoa haitakiwi kunyimana hata kama umegombanaa .... kwa kwauli ya TAWLA --- kataa ndoa itaongezekaa
 
Wanawake mtatuua !, Jana Mzee kaachana na mke we kwakua kwa miaka 7 Katika ndoa ; hakuahi kumujua kiunyumba mkewe ......
Kisha Bado wanasheria mnazidi kutunga Sheria ya kuhangamiza ndoa zawatu !!!..... Haki duniani ni hafif Sana kweli na unaegamia upande mmoja !!!.
 
This is nonsense.Wanataka watu control hata kwenye nyumba zetu!? Kwanza Mungu ameagiza kwamba tusinyimane,so mwanamke kumnyima mumewe is going against Gods' directives.It's stupidity kufikiria kwamba a sane man can force her wife into sex kama kuna genuine reasons to the contrary.To me the very idea kwamba mwanamme anaweza kumbaka mkewe is demonic.

Infact kama jamii yetu ingekuwa sane,tunge tunga Sheria kwamba mwanamke yeyote anayemnyima mumuwe without genuine reasons awe brought to book,kwa kuwa anaweza kumfanya mwanaume aingie kwenye improper relationships na hivyo kuiletea familia matatizo.
 
Kimsingi kuna kubwa nyuma ya pazia na inatia hasira sana ila sema tatizo ni sisi wenyewe kama tungeamua kuachana nao tusijishughulishe nao, tusihangaike na mahari wala kuwajua kwa namna yoyote ile...ni miaka miwili au miezi kadhaa wangeanza wenyewe kujitafuta.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Ni kuleta usumbufu kwa wanandoa. Impact yake utakuja kutesa watoto. Kwa nchi za Africa
 
Kuna vyama vinapromote ushoga na usagaji hapa nchini cha kushangaza viongozi wa dini wamekaa kimya! Wanashindwa nini kutoa tafsiri ya ndoa ili kukomesha kampeni kama hizi ambazo zitapelekea wanaume na wanawake kuoana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu muungano huo hautambuliki kisheria na kwa sababu hiyo huwezi kuuwekea udhibiti?! Nchi zote zenye sheria ngumua za ndoa kati ya mke na mume zina idadi kubwa ya mashoga na wasagaji.
 
Wengi wanahamasisha watu wasiowe, ni wanaotoka kwenye familia ya mapenzi wa jinsia moja, yaani mashoga.

Mashoga ilimradi wao wamezaliwa, wala hawajali juu ya ongezeko na ustawi wa kizazi kijacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…