Taxes collected by KRA in 2020 can finance Tanzania budget and still remain with some change

Kukopa ni njia ya kuleta ukwasi kwenye uchumi,hatukopi kugharamia recurrent expenditure bali miradi ya maendeleo.Na in fact tunakopa kidogo sana kuliko ilivyostahili na mbaya zaidi tunakopa kwenye soko la ndani.

Nilimsikia Finance Minister akisema seems Nchi haiaminiki kukopa kwenye masoko ya Kimataifa kutokana na poor rating na bado inatazamwa kama nchi maskini isiyojiweza,kwa hiyo they are working to iprove credit rating ili wakope kwenye masoko ya mitaji ya kimataifa na kuacha space ndani kwa ajili ya private sector.
 
Lakini mama naona akiweka mambo sawa, especially kwa wana biashara na wawekezaji.., ameanza vizuri, ila sijui kama ako na support from CCM..,
Support iko so long as atawahakikishia vyeo vya siasa ,na hapo lazima awabane wapinzani na apige chini mambo ya Katiba mpya maana hiyo Katiba wanayodai wapinzani itapunguza au kufuta vyeo vya siasa vya maccm.

As for me sina shida na mambo yao ya politics watajuana wenyewe ila tuu achuke mkondo wa soko huria kwenyeuchumi.Nchi nyingi za Africa ziko autocratic lakini sera zao za uchumi ni friendly.
 

Ni jambo jema. Lkn pia itapendeza kama hayo makusanyo yatawagusa wananchi kama hawa hapo chini.
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
 
It is possible, she is so liberal, nikama sio Tanzania ninayo ifahamu! Wanabiashara wame mu rate highly, wakiongozwa na Aliko Dangote wa Nigeria, which is a good thing kwa uchumi wa taifa, private sector kwa sasa ndio mkombozi wa uchumi, serikali na wanasiasa sio wakuaminika. They need a compliment.
 
Kuna jamaa alifanya analysis anasema bajeti ya maendeleo ya kenya na ile ya Tanzania vinalingana. Kwa hiyo kenya ni kweli kabisa ana uchumi mkubwa kushinda Tz. Lakini mnalipa pesa nyingi kuservice mikopo ya madeni .kanusha hii point. ukweli kwa takwimu za bajeti za nchi mbili majirani wa damu waliogeuka watani wa jadi kama simba na yanga. NASUBIRI KANUSHO.
 
Hehehe!!! Ndio maana mama Suluhu ameamua kutoendeleza chuki za mtangulizi wake na kuhamasisha ushirikiano, haisaidii kitu kulumbana na mtu ambaye haitokuja siku umfikie, bora ushirikiane naye mjenge chumi zenu.
 
eti kama Simba na Yanga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kenya iko over ambitious., inafanya miradi mingi, kulingana na vision 2030 projections., wanajaribu kutimiza yale malengo yalio wekwa by 2030.., ndio maana mikopo haikosi.,
 
Kazi nzuri,tupe na takwimu za bandari yenu ina handle tani ngapi kwa mwaka maana ya DAR ni tani 17mil huku 5 tuu zikiwa destined kwenye nchi za jirani.
Mombasa port 2019 ilihandle 34 million tonnes. That is double mizigo iliyokuwa handled na Dar port.
 
True bado tuna uchumi mdogo kuliko Kenya ila watch out mama nimemuelewa sana maana yuko na sera za market oriented kwa vile na yeye ni mfanyabiashara na aliathiriwa vibaya na sera za ujamaa za mwendazake wa kuzimu.
True. Mama naona ana mitazamo ya market economy. Wacha tuone impact yake itakuwa gani baada ya miaka minne.
 
Hio ni excuse tu. Mnaweza kopa hata uchina mkipenda. Mchina huwa haangalii credit ratings za nchi fulani. Wanakopesha hata failed states. Halafu mnaweza kukopa pia kwa World Bank na IMF ila lazima muwe ready kufungua masoko yenu to free-market competition. IMF haipendi kufanya kazi na nchi za kisoshiolisti. Serikali yenu bado inacontrol sekta nyingi za uchumi wenu. Health and education yenu inakuwa dominated na serikali.
 
Acha upimbi mikopo ya bilateral agreement ipo ila inakuwa sio mikubwa na wao ndio wanapanga bei yaani interest rate.

Na hao WB na IMF ndio wata gauge kiasi cha kukupa kulingana na ulivyo kuwa rated na akina Moody nk.

Lakini pia sera za mikopo kuelekea Nchi maskini zina masharti mengi Sana yasiyo na tija tofauti na kukopa kwenye masoko ya mtaji ya kimataifa
 

Mkopo unamaanisha tu 'delayed payment for development'.
Kwa hivyo, mkisema tunalipia mikopo, ukweli ni kwamba tunalipia barabara, hospitali, viwanda nk. (plus interest).
 
Kukopa sio tatizo. Wacha excuses. Sema nyinyi wenyewe hamtaki kukopa. Kwani credit ratings zenu unadhani ni junk? Junk credit ratings ndio huwa inafanya msikopeshwe.
 
Hamna uwezo huo, nyie wenyewe mnaenda kulia kulia kwa mabeberu...
 
Hivi hata hesabu unaijua kweli?

Kenya

Kenya collection ya tax =16bill usd
Kenya budget = 50 bil usd
Kenya deficit =34 bill usd (za kukopa)
Kenya gdp=90bill usd
Kenya dept= 79 bill usd

Tanzania

Tax collection= 12 bill usd
Government budget = 14 bill usd
Wahisani na debt= remain 2 bill usd
Gdp=70 bill usd
Debt= 24 bill usd

Mwenye akili ni zwazwa ni mkenya anawelawela kiwira mkokoto kunkukurukutu


Tanzania
 
Badilisheni sera, muwe mabepari kama sisi., CCM imekomaa na sera za kijamaa hivi.., hawa achilii raiya wainuke kwa mpigo! nimekupata sasa. my bad.
Nigeria has more than 3 million registered Private Companies.
Five times The GDP of Kenya.
Has less Tax Revenue than Kenya.
Your Tax Revenue is actually anti-capitalist, fueled by a Big government overseeing a society with The highest Gini coefficient (inequality among the society).

What you just did here is, parading three pet pigs in your living room full of guests after spraying them with 3.4oz of Tom Ford's cologne.
Then looking at your guests with a big smile, asking them "What do you think of my babies Kamau, Njoroge and Kipchoge?"
 
Your wrong,Ingewezekana KE kutufinance endapo revenue yenu ingekua inawatosha plus ibaki $14B salio....lakini kwa akili yako ndogo hilo hukuliwaza....huwezi finance mtu wakati wewe mwenyewe hakikutoshi
 
Mlifika GDP ya $70B lini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni lini mshawaikusanya tax ya $12B?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…