Taxes collected by KRA in 2020 can finance Tanzania budget and still remain with some change

Your wrong,Ingewezekana KE kutufinance endapo revenue yenu ingekua inawatosha plus ibaki $14B salio....lakini kwa akili yako ndogo hilo hukuliwaza....huwezi finance mtu wakati wewe mwenyewe hakikutoshi
Hujaelewa kitu niliandika, nilisema kuwa our tax can finance your budget.
 
Hujaelewa kitu niliandika, nilisema kuwa our tax can finance your budget.
Hujielewi...mkifinance yetu nyie hamna mahitaji? Haiwezekani hamna Huo uwezo...kusanyeni $50B mje mtusaidie
 
Hujielewi...mkifinance yetu nyie hamna mahitaji? Haiwezekani hamna Huo uwezo...kusanyeni $50B mje mtusaidie
Wewe huelewi. Nimesema our tax revenue can finance Tanzanian budget na huo ndio ukweli was mambo upende usipende.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amaizing.
 
Mbona hesabu yako ya kijinga sana.....
 
You like quoting Nigeria, are you Nigerian?
 
Utampa mtu mia 2 wakati wewe Huna hata thumni ukishatoa hiyo mia 2?

Utajitapa kumpa mtu mia 2 wakati wewe na family yako mnahitaji elfu 1 kusurvive so mna deficit ya mia 8 pamoja na hicho kimia 2 chenu mnachoka kukitoa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio maana mnaitwa Kunyaland, wakunya akili zenu zote mavi kunuka

Halafu Mpo kama nyumbu mmoja akiongea pumba mpaka baba na wazee wanasapoti, Tanzania mtu akiongea pumba atakosolewa ila wakunya ni kama nyumbu wa Serengeti πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Machakos county is better than any region in Tanzania. Everybody in kibera is connected to electricity unlike in Tz where only 40% of people are connected.

Unajidanganya sana.kiukweli maisha yenu kwa watu wa hali ya chini ukilinganisha na maisha ya watu wa hali ya chini wa tz.nyinyi ni maskini sanaaa na mnaishi maisha ya dhiki.
 
Mtanzania na ukweli no Kama maji na mafuta, hawapatani. BTW if I may ask mbona hampendi ukweli?

Kwa ukweli upi? Ukweli ni nyinyi nasisi kwa mtu mmojamoja mnashi maisha ya dhiki na yasiyo na ustaalabu
 
Wewe huna akili, do you really understand meaning ya tax revenue? Kwa hiyo attachment inaonekana vizuri ya tax revenue is $7B.
Kazi yako ya Nursing inakufaa zaidi. Mathematics waachie wajuzi.
 
Reasoning uchwara! incomplete reasoning just for a fallacious argument. Nigeria has one of the lowest tax to GDP ratio in the world, Kenya hatuja waacha mbali, Nigeria also has the lowest debt to GDP ratio in the emerging economies. Tax evasion and corruption denies them $15Billion in revenue..., so you cant mention them in the same sentence with Kenya without putting your use of Nigeria as an example into a clear perspective. Tanzania iko na better GDP to tax ratio than Kenya and Nigeria yet your revenue ya mwaka ni finyu, ina maana nchi ni fukara kiukweli!., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Shida ya mitanzania ni bora alazimishe Kenya ionekane dhaifu kisa Tanzania iko way below ili mjiliwaze, so mnalazimisha reasoning uchwara, nyie ni fukara zaidi, hilo liko wazi tena sana.., why cant you explain Tanzania's low annual revenue collections vis a vis the national budget? Simple, ni ufukara ulio kita mizizi kote kote., issue yenu sio kama ya Nigeria.., discuss Tanzania mahala wewe uko kwa sasa..,
Mambo ya Nigeria soma taarifa..,


Nigeria grapples with formidable tax collection challenge
Government seeks to increase revenue as debt repayments balloon

A market in northern Nigeria.
The government's finance bill aims to bring more smaller businesses into the formal economy Β© Bloomberg
Improving crumbling infrastructure and poor services in Africa’s largest economy is one of the top priorities for Nigeria’s government. But with debt repayments ballooning to nearly two-thirds of revenues, it has struggled to find the money to tackle the problems and is ramping up efforts to boost tax collection. However, the challenge will be formidable in a country with one of the lowest tax-to-GDP ratios in the world, analysts say. Economists point out that Nigeria’s public debt β€” which at 20 per cent of gross domestic product is low by emerging market standards β€” is not the issue. β€œIt is not that interest payments are too high; it is government revenue that is too low,” Yvonne Mhango, sub-Saharan Africa economist for Renaissance Capital, said in her 2020 outlook report for the region.
The Federal Inland Revenue Service has said it loses $15bn annually to tax evasion and that it has roughly doubled the tax base since 2015, when President Muhammadu Buhari was first elected. With the senate set to approve Mr Buhari’s plan to borrow $30bn for infrastructure projects in the coming months, the government wants to raise its tax take from roughly 6 per cent of GDP in 2017 to nearer 15 per cent, the threshold the World Bank says is necessary for economic growth and poverty reduction.
 
Kwa ukweli upi? Ukweli ni nyinyi nasisi kwa mtu mmojamoja mnashi maisha ya dhiki na yasiyo na ustaalabu
Mifukara EAC na SADC hakuna kitu unaongea humu, hiyo propaganda ya vijiweni tunaifahamu, unajiliwaza tu. mko ovyo ukanda huu, kutokana na uzembe wenu na serikali yenu uchwara, CCM ni ma cartels tokea zamani, not a govt, wanamiliki nchi raiya wanakodi, nyie mmebebwa ujinga tu na propaganda, matokeo ni uchumi hafifu, malofa wengi, yaani mifukara kwenye nchi iliyo barikiwa na hali na mali, laana ya kiaina, hakuna kingine zaidi ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…