Tayari chali! CCM imebaki sasa kutegemea vyombo tu hata kampeni hawawezi

CCM ilivyochoka hata wakiletewa robot la Nape halitawasaidia.
downloadfile-802.jpg
 
Samia anakiachia chama mzigo, ndio maana hivi sasa wakongwe wa chama wameanza kukosoa mienendo ya rais, wengine chini kwa chini wengine hadharani, maana ukitoa polisi na watekaji CCM haina uwezo kukamata dola.
hiyo ni porojo au chai gentleman 🤣
 
hiyo ni porojo au chai gentleman 🤣
Emoji ya kucheka unaweka nimeandika kichekesho hapo?
Nani hafahamu CCM imepasuka? nani hafahamu CCM pasipo watekaji na wauaji hawana uwezo kuikamata dola?
Elewa kwamba wenye busara wanaelewa huwezi kuikamata dola miaka yote kwa kutumia mabavu na maigizo, mwish wake upo, huwezi kuongoza taifa ambalo wananchi hawakutaki...

Na huo mwisho huwa ukifika, huwa ni mbaya... sana.
 
kwahiyo mamluki wafuata mkumbo mmebaki kupotoshana kwa ramli za kindezi wajemeni?🤣
 
CCM itagemea majambazi yanayovaa uniform kuendeleza utawala wao wa kidhalimu
 
Back
Top Bottom