Tayari jamaa washafanya yao huko misri

Serengeti boys walinyanyasika watoto wa watu. Tukawaona wapuuzi nakadhalika. Sasa hawa nao wanarudi na 0. Timu bora ya taifa sio mbwembwe ; hutokana na ligi bora na club bora. ambazo hutegemea uongozi bora wa tasnia yote ya michezo. Leo hii ligi zote za kitaifa ni kimeo, timu zote hazina ufadhili unaokidhi matakwa unadhani nini kitatokea?
 
Sisi ambao tunashabikia Algeria tunawatakia nyie ccm fc usiku mwema


Na tunasema mfungwe tu hakuna namna tena magoli yawe kuanzia 7
 
Algeria 3 CCM Stars 0. Nina furaha sana Leo. Nimeagiza kinywaji na natazama mechi kiulaini!
 
Hakuna mipango na mikakati dhabiti ya kuinuia michezo hapa kwetu.
Wachezaji wazuri wapo, tatizo vipaji vyao havikuuzwi tangia wakiwa wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…