Serengeti boys walinyanyasika watoto wa watu. Tukawaona wapuuzi nakadhalika. Sasa hawa nao wanarudi na 0. Timu bora ya taifa sio mbwembwe ; hutokana na ligi bora na club bora. ambazo hutegemea uongozi bora wa tasnia yote ya michezo. Leo hii ligi zote za kitaifa ni kimeo, timu zote hazina ufadhili unaokidhi matakwa unadhani nini kitatokea?