Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

Ao bodi ya ligi/kamati awawezi kutangaza kwakua iyo adhabu ilikua ya maelekezo na siku au muda watakao toa iyo taarifa hawata taka maswali kwakua ni maelekezo toka juu.
Mwanzoni walivyosema wanampeleka Kamati ya Maadili ni kanuni zinataka ivyo ila walishapanga adhabu yake akifikiahwa kule kamati ya maadili kama utaratibu unavyo taka.

Kamati ya maadili imetekeleza amri ya kumfungia waliyo pewa.

Kilicho washangaza ao waliotoa maelekezo ya kufungiwa Ally Kamwe ni taarifa kuvuja kabla kamati /bodi ya ligi haija waandikia rasmi wahusika au kutolewa rasmi kwa taalifa iyo kwa umma.
Mpira unaendeshwa kihuni, ukiongea ukweli katika mpira wetu unaonekana Adui.
Watu wanajadili namna ya kukukomeaha wakiwa bar na kinacho fuatia ni utekelezaji.
Iyo ndio hali halisi iliyopo katika mpira wetu kwa sasa.
 
Wanasubiri machi 8 ipite. Wakitangaza sasa hivi mjadala wa dabi utafifia na kupelekea mechi hiyo kukosa mvuto na mapato kupungua.
Kwahiyo Sheria huwa zinatoa room kwa huo Upuuzi au Sheria inataka Hukumu ikitoka bila kujali lolote itekelezwe haraka?
 
Back
Top Bottom