Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

We utopolo kwani kaonewa
 
Badala ya kumfungia Aziz Ki n Pacome mnamfungia Ally kamwe halafu mkila 6 sijui mtasemaje.
Aziz Ki ameshajifungia mwenyewe wiki mbili. Ameteguka nyonga na hayupo mazoezini, anaonekana hospitali
 
bodi ya ligi naona wamekaa kimya sijui shida nini
Shida ni kuwa wakitangaza tu wataingia matatani kisheria na kijana atakuwa na haki kushtaki Fifa na kudai fidia na atashinda kesi asubuhi tu sababu hakuna timu ligi kuu inaitwa kolo, kolo ni timu iko huku maskani kwetu Buza Mpalanger!!
 
Wazee wa Husuda na Vijicho lazima wamuombee Mabaya kijana wa watu aliyeamua kumjengea kiabanda cha kulala mama yake mzazi
 
Shida ni kuwa wakitangaza tu wataingia matatani kisheria na kijana atakuwa na haki kushtaki Fifa na kudai fidia na atashinda kesi asubuhi tu sababu hakuna timu ligi kuu inaitwa kolo, kolo ni timu iko huku maskani kwetu Buza Mpalanger!!
NAKUBALI

hata na hivyo sio Yanga au Ali mwenyewe hajapata taarifa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…