Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi itakua pacha wako mkuuUmenifananisha
Mwambie huyo pesa yako hupangwiwiJo
Jobless wivu utakuua wewe
Hahahahahahaha [emoji21]Kmmk hiyo hela bora ungekula maandazi uongese ENEJI mwilini. Utakumbuka maneno yangu.
MwacheTumwambie ukweli au tumuache[emoji1787][emoji1787]
ni hela ya kawaida hata sisi kapuku tumeolewa kwa hiyoWe schola kwaiyo 6m ni kichambio sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka 😂😂Ndoa tamu?😂😂
Kutoa mahari tayari ndoa imekuwa tamu🤔🤔🤔
VINA MUDA BASI....
Basi sawani hela ya kawaida hata sisi kapuku tumeolewa kwa hiyo
Floyd Mayweather "Marriage is a scam"Kwanini watu wa jamii forum wako biased na ndoa sana ? why!
Ukiandika "laa hasha" usiandike "hapana" hapohapo.Umerudia neno lenye maana sawa na la awali.Barabara ya Mwanza-road!Saludo senora y senor
Wakuu sio kwamba naongea kujisifu au kuwalinganishia? Hapana la hasha nataka niwamotivate vijana wa ki leo au wa kisasa kuhusu suala la kuoa wakuu!
Kwanza nishukuru hili jukwaa hili la MMU kuweza kupata mke wangu kipenzi miss A kiukweli wakuu kwa hapa nilipofikia hauwezi niambie chochote kuhusu huyu mke wangu kipenzi miss A huyu mwamamke sio poa aisee kwanza kwao kuna maadili ya kidini na pia kuhusu financial au kipesa wako vizuri! Samahani kama kuna watu nitawakera 🤒 ila ndiyo hivyo wakuu no way lazima niseme tu samahanini 🗾 jamani.
Jana wakuu si niliwaambia kwamba naenda kutambulishwa ukweni? Nilifanikiwa kufika ukweni salama pale kondoa gracias a Dias nikakaribishwa vizuri sana tukala na kusaza wakuu aisee sio poa nimefurahishwa na ukarimu wa warangi aisee hawa jamaa ni wakarimu balaa asikuambie mtu Dios Los bendigo.
Wakuu kiukweli jana nilifanikiwa kutoa mahari japo maharishi yao imesimama wakuuu aisee kama mtu ni jobless kiukweli asingeweza kutoa wakuu ila ndiyo hivyo mimi ako na cash kimtindo lakini si nyingi but I thank Allah for everything.
Wakuu eti mahari walinitajia milioni 6 yes ni milion 6 alooo nusu nizimie wakuu ila nikajitutumua mwishowe niliitoa ila kinyonge sana kwasababu nilikuwa na saving za kutosha ila sio poa.
Nahisi wamenitajia vile kwasababu ni mzuri kupita maelezo wakuu yaani asiwaambie mtu sio ni mzuri sana na pia ni mzuri na pia ni alikuwa bikra mie nilimtoa samahanini mods kwa lugha hii ila no way lazima niseme tu.
Kwahiyo lasmi amekuwa mchumba wangu kwahiyo ndoa muda si mrefu nitawapa detail ya kila kinachoendelea wakuu wala msijari.
Vijana oeni,oeni, oeni ndoa ni tamu sana wakuuu.samahani kwa kujimwambafai wakuu samahani sana wakuu ila no way lazima niseme tu kuwa motivate vijana wa leo 👹 wakuu.
"El amor es algo hermoso" joven contraer matrimonio.
Mungu awabadiliki sana Jamiiforum na wanabodi wengine kwa hili jukwaa.nimepata mchumba kupitia hili jukwaa.
"Gracias a Dios"
Kwanini zisidumu?Mahali 6ml? Nakwambia Amini nakwambia Ndoa za hivo huwa hazidum
ila hata laki mbili unaoa,ko unajikuna mkono unakofika dearBasi sawa
Basi itakua pacha wako mkuu
👇🏽una
Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu
Unauliza then unajijibu? Vp we ngoshaHiyo mahari ya 6M, huyo binti yao ni bikra namaanisha pengine umejihakikishia kiwa hana maex?
6Million? Nadhani kambi yao ni aina ya wale watu wasiokuwa na ushawishi.