Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Wasalaam
Juzi hapa nilileta uzi kuutarifu umma wa JF naishi na binti mbichi wa 2005 bila kwao kutambulika
Nilishambuliwa na members watakatifu wa JF kwa nini sijajitambulisha nyumbani kwa binti naishi nae kimya kimya atakuja kunifia ndani
Sasa jana nipo maskani na bibie tunapata dinner naona bibie yupo busy mno kuchat na kusahau kula
Nikamwambia nipe simu akaanza kusita sita baada ya kumchimba mkwara akanipatia.
Asee nilichokikuta hata ile hamu na mpango wa kupiga simu kwa wazazi wake nijitambulishe imeisha
Kumbe binti bhana ana mahusiano na mtu ambaye yupo huko kwao, binti anatuma msg za kubembeleza penzi na kulalamika ataolewa lini na huyo jamaa maana anaumia juu ya penzi lake
Yani mimi ninaemlisha, kumvisha na kumhudumia kwa kila kitu hadi binti kanawiri naonekana si lolote si chochote
Yani naishi na huyu binti kumbe ana plan zake za kuolewa na jamaa hapa kwangu inaonekana anasogeza siku tu mbele ili mipango itimie atokomee na kuniacha hewani.
Natamani nimtimue aende kwa huyo jamaa ila kwao wanajua anaishi kwangu mimi japo sijawahi kuwasiliana na watu wa nyumbani kwao ila nilikua na mpango wa kujitambulisha rasmi.
Ila kwa nilichokisoma na kukiona kwenye msg moyo wangu upo dillema sijui nini nifanye.
Kibaya zaidi baada ya mimi kugundua hila ya huyu binti amenuna na hata chumbani hakulala kalala sebuleni
Ushauri wenu wakuu nimfanyaje huyu mtu maana nishaanza kuona red flags.