Tayari nishapigwa na kitu kizito sijui nifanyaje

Lwa kifupi amekuona huna hela za kumtosha
 
Kweli mkuu ulinionya kwenye ule uzi wangu mwingine yani hata siku 3 hazijaisha binti kaonesha makucha yake na hadi sasa kaninunia baada ya kumwambia ukweli sitaki ujinga
Mkuu Mimi Huwa na nyooka mle mle sijui kupindisha kwanza tukubaliane wewe ni mjinga kiwango Cha reli pia katika wajinga wewe unakula kichwa!!

Huyo binti ulipaswa usiwe nae Hadi dk hii muda uleule ungempandisha boda unawapa Taarifa wazazi wake ukiwaambia "Kila nikikamilisha nije kujitambulisha mtoto wenu anaibua mambo mengine na Leo Tena nimekuta anachat na jamaa mwingine......" Then waambie namleta Kwa muda kwanza ndo inatoka hiyo!

Hapo unakuwa umefanya usabato ila ukiamua ufanye ki mwamposa ni kutumua tu mazima mazima siku ileile....

Hapo anakuchora kashaijua akili Yako fika kuwa huna maamzi ya kiume kwake!!

Iko hivyi mwanaume hufanya maamzi mazito hata kama yatamuachia maumivu Kwa Wakati huo!

Mwache aende hapo yupo Kwa sababu ya vitu fln tu unavyo mpatia....

Umri kama huo sio sababu kama binti ana nidhami hawezi chat mbele ya Mme wake mbona wapo tumeoa Watoto wa2000 na Bado Wana heshima hata kama wanafanya hayo basi yanafanyika Kwa tahadhar kubwa Ili tusijue!!

Huyo binti anafanya hayo akijua wazi huna maamzi magumu juu yake ndio maana umekuja kuomba ushauri hapa jf..... Anajua fika hata ukimtumua basi ataenda Kwa mshikaji.
 
Nakuelewa sana unaposema uko dillema na niamini itakuchukua kamda kidogo kukaa sawa
Ila amini hapo hakuna penzi huyo ukiamua kuishi nae jua utavumilia mengi hiyo sio red flag ni 🔥flag
 
Nakushauri naomba ujiuwe ili kumkomoa binti na huyo mwanaume wa ndoto yake.
 
Achana nae.... Yaani ni kama kulazimishwa Maji kupanda mlima
 
Nataka nikuulize maswali mawili au matatu ya muhimu!
1. Unaishi na binti ambaye nyumbani kwao hawajui kuwa unaishi nae,alitokaje nyumbani kwao?
2. Je, uko tayari kwenda jela endapo akipatwa na tatizo kwako
3. Unawezaje kupata ujasiri wa kuishika simu ya mwanamke ambaye unaishi nae kama kimada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…