Tayari nishapigwa na kitu kizito sijui nifanyaje

Mim wakwangu namzidi miaka 11 mbona katulia kwenye ndoa. Huyo mzalishe atatulia ss unaishi nae kinyume na taratibu lzm na yeye awaze hatima yake.. Mpige double mkuu ex wake amsahau
 
Hilo jambo dogo sana
1. Piga mkwara huyo mme mwenzio mwambie ushamuoa huyo akae nae mbali
2. Tia mimba chap
3. Jitamblishe kwao
4. Kuwa mkali ukishindwa kumdunda vunja simu, kuwa mkali, mbadilishie laini ya simu
 
Unasuburi mpaka siku umeenda kwenye mishe zako ukute amebeba kila kitu cha ndani kapeleka kwa bwana ake au? Asepe huyo...
 
 
Sasa hapo kosa lake ni lipi?
Wewe ulijunasibu kuwa unaishi nae na
Yeye anataka wa kumuoa
Kwahy sahv anachofanya ni kumtafuta muoaji
 

Mtafutie naulinya kufika kwao, na laki 2 ya ziada aende, Hawezi, kamwe, milele kutulia!
 
Huyo hakutaki, face it na uachane naye. Utapoteza muda tu, hata kama uchukue jitihada za kwenda kujitambulisha kwao na kumwoa utakuwa unatwanga maji kwenye kinu tu. Moyo wa mwanamke uko complicated sana, ana mtu wake anayempenda kindakindaki, wewe hakupendi. Na hili ndiyo tatizo la hivi vibinti vya 2000+.
 
Wewe umlishe na kumuhudumia babaake yuko wapi? Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…