kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Tarehe 8 mlivyoshinda yote hatukuyasikia haya, ila leo mmedroo mnalia lia gongowazi mna nini lkn!!Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.
Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara, posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tumefungwa na kmc hatukuongea tuna jua karia na genge lake hawaitakii mema yangaTarehe 8 mlivyoshinda yote hatukuyasikia haya... ila leo mmedroo mnalia lia.. gongowazi mna nini lkn!!
Refa ndiye aliyefunga goli la Namungo mdau wa soka?Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.
Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara,posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.
Sent using Jamii Forums mobile app
Refa ana assist,Simba ndio timu inayo ongoza kwa assist za marefa, goli la namungo refa hajafunga yeye ila Refa msaidizi/Mshika kibendera katoka assist kwa mfungaji.Refa ndiye aliyefunga goli la Namungo mdau wa soka?
Marefa wa mchezo wenu wa juzi na kmc nao vipi!?Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.
Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara,posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoho fcmalalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Simba hapa imekujaje boss?Refa ana assist,Simba ndio timu inayo ongoza kwa assist za marefa, Goli la namungo refa hajafunga yeye ila Refa msaidizi/Mshika kibendera katoka assist kwa mfungaji. Nikama Jonesia Rukyaa alipotoa assist kwa kagere afunge kwa njia ya penati dhidi ya Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawapongeza chama cha marefa, Tff kwa kupambana kuhakikisha Simba inakua bingwa maana mwekezaji pekeyake asingeweza mbaka kutaka kususia timu bila kupigwa mkwara na RC saaizi tungekua tunazungumzia mengine. Nawashauri TFF na Marefa nguvu waliyotumia kuipa Simba ubingwa basi waitumie kwenye mashindano ya vilabu Afrika ili zile goli tanotano kwa mechi zisijirudie.Sasa Simba hapa imekujaje boss?
Au unateseka na ubingwa wake [emoji13]
Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?Mimi nawapongeza chama cha marefa, Tff kwa kupambana kuhakikisha Simba inakua bingwa maana mwekezaji pekeyake asingeweza mbaka kutaka kususia timu bila kupigwa mkwara na RC saaizi tungekua tunazungumzia mengine. Nawashauri Tff na Marefa nguvu waliyotumia kuipa Simba ubingwa basi waitumie kwenye mashindano ya vilabu Afrika ili zile goli tanotano kwa mechi zisijirudie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabonde kuinama fcmalalamiko fc.
avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app