Tayari wachambuzi wa Clouds wanadai lile goli la Yanga ni halali

Tayari wachambuzi wa Clouds wanadai lile goli la Yanga ni halali

Misukule FC inatoa mapovu.
Mwaka huu ligi nzima itafutwa. Corona business imeingia.
Tukutane msimu ujao bila magumashi.
 
Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?
"Mo alitumia hela nyingi kwa waamuzi wa zile mechi na zimemtia hasara"
Hizi ni habari za kwenye Gahawa na watu wasioujua mpira
 
Kwanini mnapenda kulalamikia vitu vidogo vidogo na kuchochea chuki kwa waamuzi wakati timu nyingine zinafanyiwa hayo hayo ikiwepo Simba yenyewe na hawalalamiki?

Yaani hata goli la Namungo eti linalalamikiwa! Huu ni uchambuzi maandazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Heading na content vimenichanganya ila ngoja nikujibu heading na nilichosikia clouds, clouds wamesema kwa picha walizoziona wao aziwawezeshi kujua kama ni off or on side kutokana na angle aliyokaa mpiga picha.
 
Tarehe 8 Yanga alishinda kwakua ule ugeni wa wale waheshimiwa uliwasaidia marefa na TFF kuogopa, ila vinginevyo marefa wangelazimisha Sare au Yanga ifungwe kama ile mechi ya kwanza Mama Jonesia alivyo pewa kazi naye akaitekeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 8 Simba wasingeweza kufunga goli mbele ya majini yaliyovaa sura za wachezaji wa Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi, kama huna better shut it up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The world was good and healthy for thirty years until Liverpool decided they want to win the EPL...😏🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Ubingwa wa dhuruma wa Simba Sc hadi Mungu kakasirika na kuruhusu Corona itutese. Mwenyezi Mungu hapendi dhuruma aiseee...
 
Back
Top Bottom