Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mo alitumia hela nyingi kwa waamuzi wa zile mechi na zimemtia hasara"Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?
Heading na content vimenichanganya ila ngoja nikujibu heading na nilichosikia clouds, clouds wamesema kwa picha walizoziona wao aziwawezeshi kujua kama ni off or on side kutokana na angle aliyokaa mpiga picha.Kwanini mnapenda kulalamikia vitu vidogo vidogo na kuchochea chuki kwa waamuzi wakati timu nyingine zinafanyiwa hayo hayo ikiwepo Simba yenyewe na hawalalamiki?
Yaani hata goli la Namungo eti linalalamikiwa! Huu ni uchambuzi maandazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabonde Kuinama FCMalalamiko fc
Avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizo leta huyo redio ni za vijiweni, mana anasema mechi na zesco, wakati Simba msimu uliyopita haijacheza na Zesco.Habari za vijiweni ni zipi na zile ambazo siyo za vijiweni zikoje?
Tarehe 8 Simba wasingeweza kufunga goli mbele ya majini yaliyovaa sura za wachezaji wa YangaTarehe 8 Yanga alishinda kwakua ule ugeni wa wale waheshimiwa uliwasaidia marefa na TFF kuogopa, ila vinginevyo marefa wangelazimisha Sare au Yanga ifungwe kama ile mechi ya kwanza Mama Jonesia alivyo pewa kazi naye akaitekeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi, kama huna better shut it up.Zilizo wafikisha pale ni pesa za MO, Mechi ya Zesco Dar, Mechi na Js Soura Dar , izo ni mechi ambazo wapenzi mlifurahi na kukenua meno ila MO zilimtia hasara kubwa kwa kuhonga Marefa.
Kwaujumla MO michuano ya vilabu Afrika imemtia hasara kwenye baadhi ya mechi ndio maana kunakipindi anatamani kususa ila RC ame mbananisha hafurukuti, Matokeo yake kutoka kuwa tajiri namba mmoja kijana saaizi anasomeka namba 16 na bado safari ya kupotea inaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha nguruwe kinakuuma.Malalamiko fc
Avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majina yote hayafui dafu mbele ya VIBWENGO FC.Malalamiko fc
Avr fc.
vyura fc.
gongo wazi fc.
utopolo fc.
bakuli fc.
wachawi fc.
kandambili fc.
mafuriko fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima waikumbuke zesco sababu waliwafanyia mchezo mbayaAlizo leta huyo redio ni za vijiweni, mana anasema mechi na zesco, wakati Simba msimu uliyopita haijacheza na Zesco.
Hilo linatosha kusema ni za vijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app