Tayla kaurudisha Muziki wa zamani wa Beyonce na Rihanna

Tayla kaurudisha Muziki wa zamani wa Beyonce na Rihanna

Umeacha kuagiza simu used kutoka dubai umehamia kwa taylor sasa.
 
amna muziki apo naona mnenguaji tuh
Nilifikiri hivihivi, nikasema labda ni mimi tu.

Kumbe na wewe umeona eeh?

Labda kwa wimbo mwingine, si huu.

Wimbo umekaa kama demo ambayo haijamaliziwa.
 
Back
Top Bottom