Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Niliona wapopo wanamaindi kuwa wao ndo wamepush muziki wa afrika sana ila kabinti kasouth ndiko kanapata sifa zaidiHuyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari.
Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu.
Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba.
View: https://youtu.be/uLK2r3sG4lE?si=ui8-GXtbp_qEA1UK
Sikiliza hiyo nyimbo vizuriamna muziki apo naona mnenguaji tuh
WatulieNiliona wapopo wanamaindi kuwa wao ndo wamepush muziki wa afrika sana ila kabinti kasouth ndiko kanapata sifa zaidi
Nilifikiri hivihivi, nikasema labda ni mimi tu.amna muziki apo naona mnenguaji tuh