Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Conection sizungumziii barua nazungumzia watu na watu wao! Hzo barua gersha ndugu!..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina wanangu kama 6 hivi woote wa kitaa tuu, hakuna mwenye connection wala contact, ndugu!! Ajira zimetoka, watu wawili watatu kupigiwa pande ni kawaida kwenye kila taasisi, komaa tuu...
 
Kuna watu wawili wameajiliwa wanatumia namba moja ya form Four halafu namba hiyo alipata division Four ya 35 (division 0)
Babu& Emanueli

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa
Mimi imenishangaza kwa kweli maana nimetoa macho we kila page Abdallah huyo! Wengi wameachwa bila sababu na wana uwezo mkubwa Nina ndg zangu pure science hawakupata nafasi
 
Umeleta screenshot ambayo imeandikwa 2 of 196, unajua maana yake?

Kama hujui, jua kuwa Hilo jina lipo mara 196 ila hapo ulikuwa kwenye sehemu ya 2 lilipoonekana Kati ya mara hizo 196.

Kama hujaelewa, sema niongeze sauti.
Dohhhhh
 
Hapa kazi tu!!!!!

Serikali imetuambia tuache kutegemea vya kupewa tuchape kazi!
Nyie nani aliwaambia mkijipendekeza kujitolea mtapewa ajira?

Eti mnalalamika Abadallah kuajiriwa mara 196 acheni uvivu nyie chapeni kazi.

Mmeambiwa kila mtu achape kazi nyie badala ya kuchapa kazi mnajitolea? Mnaijua serikali ya wanyonge nyie?

MKUU KASHASEMA, AWAMU HII HAKUNA RAHA, NI MWENDO WA MASTRESS MAKUBWA MAKUBWA TU MPAKA MFEE WOTEEEEE!!!

HAPA KAZI TU, #MITANOTENA.

CCM HOYEEEEEEEE!
 
Huyo aliechapisha nae ni binaadam ana mapungufu yake hivo pengine amekosea tu
Jitaje mara 100 kuwa wewe ni mtu bin ushuzi. Wewe unaleta ujinga kwenye ishu sensitive na crucial. Suala la kitaifa unaleta busara za hadhi ya familia. Uko sawa au ni wewe na hewa hamna tofauti?
 
Halafu watu wenye umakini tupo mtaani tu.
 
Acha ujinga wewe sijui umesoma wapi wewe ? Yani umeshindwa hata kuelewa hapo juu. Ccm tawala milele.
Hujui hata nimemjibu nani na nimejibu nini. Jamii forum ingekua ina expose tu sura za watu maana wajinga ni wengi
 
Hjjawahi kusikia mtu ana PhD lakini anasomea certificate ya kitu kingine?
Mbona unaonekana Kama c mtanzania mwezutu vile!
Hivi mnajua criteria za kupata certificate. From the initial step huwezi kwenda mbele kama hujaclear form four sijui nini mnashindwa kuelewa
 
Watawnda na kadi ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…