Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Tatizo la hii nchi viongozi huona wananchi wote hawana akili Ila wao tu ndyo wanaaakili. Wanajua wakiweka serial numbers mtagundua mapema kama Walimu hawakufika 13000.

Wakiweka vyuo walivyosoma itakuwa rahisi kuwagundua kama wamepika majina[emoji1][emoji1][emoji1]. Kuhusu mtu kumaliza form four 2019 na kuajiriwa 2020 kama qualified mwalimu, hii najua Elon Musk anaweza kuielezea inawezekanaje????
 
But naona amepangiwa same kituo...nahisi pia Kuna kitu
 
Mbona haifiki mara hizo ulizoandika lengo ni nini hasa? View attachment 1636380
Umeleta screenshot ambayo imeandikwa 2 of 196, unajua maana yake?

Kama hujui, jua kuwa Hilo jina lipo mara 196 ila hapo ulikuwa kwenye sehemu ya 2 lilipoonekana Kati ya mara hizo 196.

Kama hujaelewa, sema niongeze sauti.
 
Umeleta screenshot ambayo imeandikwa 2 of 196, unajua maana yake?

Kama hujui, jua kuwa Hilo jina lipo mara 196 ila hapo ulikuwa kwenye sehemu ya 2 lilipoonekana Kati ya mara hizo 196.

Kama hujaelewa, sema niongeze sauti.
Kwani mtoa mada kasemaje


Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
 
Hilo jina limejitokeza mara 196...angalia vizuri hapo juu kwa search.
Kwani mtoa mada kasemaje


Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
 
Kwani mtoa mada kasemaje


Nachukia watu mnaokurupuka.

Unadhani mimi kufanya hivyo sielewi nilichokifanya.?
Ulivyoandika mbona hazifiki mara hizo ulizoandika na wakati mleta mada alissema jina limejirudia mara 196, na wewe ukaleta kihelehele Cha kuscreenshot Hilo jina ukiwa umeli-search ulimaanisha Nini?

Hukumaanisha kumpinga jamaa kwamba jina halijajirudia mara 196?

Au hata hukuelewa ulichoandika? Kama hukuelewa, tunaoelewa ndiyo tumekuelewa ulimaanisha kumpinga mleta mada kwa uzuzu wako wa kutumia teknolojia.
 
Ndugu embu kasome tena alipoandika mtoa mada.

Mimi kufanya hivyo sikukurupuka.

Embu rudia post yake nilioiquote unipe mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…