Tazama Barabara za Ivory Coast, linganisha na Barabara za Tanzania

Tazama Barabara za Ivory Coast, linganisha na Barabara za Tanzania

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Tazama hizi ni barabara za Ivory Coast kwa uchache.

Ivory Coast ni nchi imekuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hadi miaka ya hivi karibuni.

Angalia miundombinu yao ya barabara.

Jiulize Tanzania tunakosea wapi?

 
Kuna Ile taarifa fake iliwahi kuwekwa hapa jamvini kuwa eti Tanzania inaongoza kwakua na barabara nzuri.
 
Hakuna mji photogenic kama DSM asikwambie mtu. Tukiweka clips za DSM hapa hiyo Ivory haigusi kumbe hadi Chanika Ipo DSM ila kwenye short clips huwezi iona.
 
Mtazijenga saa ngapi wakati kiongozi wenu amegeuka mzururaji, mara kwa francis kuongelea ushoga mara sijui wapi
 
Back
Top Bottom