The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nyie endeleeni na kuhangaika na bei za sukari na migawo ndio akili zenu zilipofikiaSasa hayo makona kona ndiyo yamekuchanganya?
CCM ndio wanavyowadanganya, bei za sukari na madawati ndio akili zenu zilipoishiaHaya si ni maendeleo ya vitu na sisi tunataka ya watu!
Wakishagawa ma prado na pesa za kula bata na michepuko kwao ni Legasi inatosha.Kuendelea kuwa na CCM yenye vilaza kwenye maendeleo endelevu ila wajanja kwenye wizi wa mali na kura.Ni kosa kubwa kuwa na watu waliojilisha ujinga kwamba hawana mbadala.
Kwa ccm hii itachukua miaka 1000 kujenga barabara kama hiziSasa hayo makona kona ndiyo yamekuchanganya?