Tazama chatGPT na Gemini wanavyooneshana ubabe katika kuhubiri Injili!

Setfree Naomba nikuoe uwe mke wangu
 
Nina maswali mengi ya kukuuliza. Nianze na hili kwanza: Umeokoka?
Ndio nimeokoka,Nampenda Yesu,
Ningependa kama utakubali wito wangu wa wewe kuwa mke wangu, maana ni heri wawili kuliko mmoja,ili pia tutimize maandiko matakatifu katika biblia
 
Ndio nimeokoka,Nampenda Yesu,
Ningependa kama utakubali wito wangu wa wewe kuwa mke wangu, maana ni heri wawili kuliko mmoja,ili pia tutimize maandiko matakatifu katika biblia
Uliokoka lini na je umebatizwa katika maji mengi?
 
Uliokoka lini na je umebatizwa katika maji mengi?
Nimeokoka na kumpokea Yesu tangu mwaka 2015,nilibatizwa katika maji mengi pia,ningependa tufahamiane zaidi na kujenga muunganiko kati yetu
 
Nimeokoka na kumpokea Yesu tangu mwaka 2015,nilibatizwa katika maji mengi pia,ningependa tufahamiane zaidi na kujenga muunganiko kati yetu
Unaabudu/unasali kanisa gani
 
Taratiibu watu wanaanza kutegemea AI kupata ujumbe wa Mungu na ndiyo maana wanenaji wa kutoa neno la Mungu kwa wanadamu hawataona tena umuhimu wa kumtafuta Mungu maana AI imekuwa mbadala wa roho mtakatifu.
Taratiibu uhusiano kati ya Mungu na mwanafamu unapotea na siku zaja ambapo watu wengi sana hawatosoma tena biblia na kutamani kumsikia roho mtakatifu akisema nao maana AI zipo.Watapotea wengi sana yumkini hata watakatifu. Siku hizi watu hata kubeba biblia wanaona aibu na wanasema wao ni wa kisasa biblia zipo kwenye simu. Na very soon physical bibles zitakuwa adimu sana.
 
AI ni zana tu ya kurahisisha kazi ya Mungu. Haichukui nafasi ya Roho Mtakatifu.
 
AI ni zana tu ya kurahisisha kazi ya Mungu. Haichukui nafasi ya Roho Mtakatifu.
Sawa kidogo kidogo watu wanakuwa sensitized na maneno matamu kama yako, wahenga walisema safari moja huanzisha nyingine.
 
Sawa kidogo kidogo watu wanakuwa sensitized na maneno matamu kama yako, wahenga walisema safari moja huanzisha nyingine.
Kwahiyo wewe AI unaiona kama nini kiroho
 
Hakuna Mbingu

Hakuna hayo maisha baada ya kufa


Njoo hapa uthibitishe
 
Hii Mada ningependa niijadili kwenye mazingira ambayo ni personal, je huoni kama ni vyema nikija PM tukaongea vizuri?
Ndugu yangu, kama unaona aibu kukiri imani yako hadharani, andiko hili linakuhusu:
“Kwa maana kila atakayenionea haya mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu atamwonea haya yeye, atakapokuja katika utukufu wake, na wa Baba, na wa malaika watakatifu.”
(Lk 9:26)
 
Hakuna Mbingu
Hakuna hayo maisha baada ya kufa
Njoo hapa uthibitishe
Uthibitisho ni Yesu mwenyewe ambaye alikufa na kufufuka. Kufufuka kwake kunathibitisha kwamba kifo sio mwisho wa maisha.

Siku inakuja wafu watafufuliwa. Waliokufa katika Kristo wataingia mbinguni. Na waliokufa katika dhambi watatupwa katika moto wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…