sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Mbosso alikataa kuwa ajaandikiwa huu wimbo. Na akaleta dharau.Kwani kuna tofauti yoyote ya kilichofanyika hapo na session zingine za studio
Kwa mbele huyo ni Co-Writer
Yaani hawa mbwa wana kera sana kwa hiyo wanavyo dhani hakuna nyimbo huyo boss wao alio saidiwa au wanataka watu watoleane siri.Kwa mboso mnaona sawa ila mboso na yeye akiamua kuweka wazi nyimbo alizomtungia mondi si itakuwa vita
Yan mondi ndo zake usikute kawatuma wamuharibie dogo, kaona anakuwa wa moto halafu kamuachia bure 🤣🤣Yaani hawa mbwa wana kera sana kwa hiyo wanavyo dhani hakuna nyimbo huyo boss wao alio saidiwa au wanataka watu watoleane siri.
Wameona wimbo ni hit song, wanatamani uwe wa boss wao. Basi wameanza chokochoko.Mbosso hana mambo mengi ila nyie machawa kunuka mnataka muwagombanishe sawa alikataa hakuandikiwa kwa hiyo imekuwa nungwa mnaumia machawa kuliko Diamond mwenyewe.
Yaani wanatumia uchawa vibaya sio kila anayetoka kwenye iyo Lebo awe adui kwao.Wameona wimbo ni hit song, wanatamani uwe wa boss wao. Basi wameanza chokochoko.
Yeah na hajamuachia Bure , Yule hawezi kumuachia mtu Bure Ile ni propaganda tu ,Yan mondi ndo zake usikute kawatuma wamuharibie dogo, kaona anakuwa wa moto halafu kamuachia bure 🤣🤣
Tatizo ni la Domo mwenyewe ana roho mbaya ila hupenda aonekane kuwa Yuko decent that's why Ali k hataki ushkaji Nae maana alikuwa anamfanyia fitna sana kama hizo ili Ali k apotee , Anamtindo mpaka wa kuhonga watangazaji na media au djs wasipige nyimbo za mtu ambaye hataki kumuona aki-shineYaani wanatumia uchawa vibaya sio kila anayetoka kwenye iyo Lebo awe adui kwao.
Cocainer kaishiwa kila siku drama tu...juzi mara watoto nalea watoto sio wangu...kaona stori imebuma, mara eti pawa kaiandika....wenzenu naija wanapasua anga msanii analipwa bilioni 7.5 Tsh kwa concert Moja tu..nyie mnafanya drama kiki mbuziKuna msani Ana mzidi mondi kw drama
Kama ni hivyo mbona Diamond anaonesha kwenye Dunia hana shida na Mbosso,kama usemayo ni kweli huyo kijana wa Tandale nae ni mwehu.Mbosso anaonekana si mtu wa shari na ni mtiifu kwa boss.Tatizo ni la Domo mwenyewe ana roho mbaya ila hupenda aonekane kuwa Yuko decent that's why Ali k hataki ushkaji Nae maana alikuwa anamfanyia fitna sana kama hizo ili Ali k apotee , Anamtindo mpaka wa kuhonga watangazaji na media au djs wasipige nyimbo za mtu ambaye hataki kumuona aki-shine
Hiyo tabia alijifunza Kwa ruge Babu tale na Said fella
😁😁😁😁😁 Acha kufukua makaburi ya zamaniSi aimbe ya kwake mbagala, mke wa didy mbona msumbufu sana?? 😹
usipotoshe mkuu…alijitokeza b levo akisema 50% ya pawa imeandikwa na diamond…mbosso akahojiwa kama ni kweli..? akasema kama ni b levo kasema hawez mjibu labda angesema diamond mwenyewe..Mbosso alikataa kuwa ajaandikiwa huu wimbo. Na akaleta dharau.
WanaferiCocainer kaishiwa kila siku drama tu...juzi mara watoto nalea watoto sio wangu...kaona stori imebuma, mara eti pawa kaiandika....wenzenu naija wanapasua anga msanii analipwa bilioni 7.5 Tsh kwa concert Moja tu..nyie mnafanya drama kiki mbuzi