Tazama Diamond Platnumz akiandika wimbo wa Pawa alioimba Mbosso

Tatizo ni la Domo mwenyewe ana roho mbaya ila hupenda aonekane kuwa Yuko decent that's why Ali k hataki ushkaji Nae maana alikuwa anamfanyia fitna sana kama hizo ili Ali k apotee , Anamtindo mpaka wa kuhonga watangazaji na media au djs wasipige nyimbo za mtu ambaye hataki kumuona aki-shine

Hiyo tabia alijifunza Kwa ruge Babu tale na Said fella
Mpumbavu sana yule cocainer...saivi wasanii wakali kibao Tanzania tu hapa wanamtoa jasho.. ukivuka kwenda afrika huko ndio hata hawamjui wengine . Wanasubiria kufanya kiki za kufunga ndoa feki za kibiashara angalau waonekane onekane kimtindo ...
 
Kama ni hivyo mbona Diamond anaonesha kwenye Dunia hana shida na Mbosso,kama usemayo ni kweli huyo kijana wa Tandale nae ni mwehu.Mbosso anaonekana si mtu wa shari na ni mtiifu kwa boss.
Hujajua vyema Domo , Ana jealous sana huyo Jamaa
 
Kwani kuna tofauti yoyote ya kilichofanyika hapo na session zingine za studio

Kwa mbele huyo ni Co-Writer
Wasanii wakikutana studio kushare ideas ni kawaida sana ndio nashingaa hapo inakuwaje Domo aone kuwa Hilo ni big deal

Hata yeye Kuna nyimbo ambazo nyingi tu itakuwa amesaidiwa ktk utunzi ,

Aache uswahili sisi wenyewe tumefanya Sanaa tunayajua mazingira ya Sanaa yalivyo, Kuna nyimbo/ wimbo utasaidiwa na producer ktk kuu- shape iwe ktk ushairi sauti au melody and Kuna mazingira unaweza kusaidiwa pia na wasanii /msanii mwenzako ktk kuuboresha huo wimbo/hizo nyimbo,

Diamond na team yake waache uchawi Wana roho mbaya sana wangese hao Huwa hawapendi kuona mtu anatoka nyuma Yao na kuachieve success, ili mtu huyo afanikiwe lazima watataka awe chini Yao , ili waweze kummonitor Asiweze kuvuka ktk level zao ,

Mfano mdogo mtizame jux ommy dimpoz and huyo Bill Nas Yaani mond kawageuza as machawa kwake na wao wametubu ili waweze kupenetrate ktk michongo Yao
 
Hasira hazitosadia kitu ukweli umeonekana kwenye video
 
usipotoshe mkuu…alijitokeza b levo akisema 50% ya pawa imeandikwa na diamond…mbosso akahojiwa kama ni kweli..? akasema kama ni b levo kasema hawez mjibu labda angesema diamond mwenyewe..
Na kama penzi ni chupa la bia 😊😊🔥🔥🔥
 
Na kama penzi ni chupa la bia 😊😊🔥🔥🔥
kijana uchawa utakumaliza..sasa pale si melody tuu..unaijua asilimia 50 wewe..ule wimbo una verse ngapi? na chorus kaimba nani? unaifaham asilimia 50? utandale ni utandale tuu..hata kama uwende wapi utabaki kwenye damu..
 
Huna akili
Hapo walikuwa wanapeana mawazo ni namna gani sauti ndio mond akatoa wazo,.
Unapendaga sana uchonganishi na uchawa.
 
Kumuandikia MTU nyimbo na kuchangia mawazo ni sawa ?.

Diamond Ana creative mind Ila anabidi aachane na mambo ya kiswahili
 
Hivi huko ndiko kuandika??
Huyo katoa melody, uandishi kafanya dogo Mbosso.
 
Wasanii wakikutana studio kushare ideas ni kawaida sana ndio nashingaa hapo inakuwaje Domo aone kuwa Hilo ni big deal

Hata yeye Kuna nyimbo ambazo nyingi tu itakuwa amesaidiwa ktk utunzi ,

Aache uswahili sisi wenyewe tumefanya Sanaa tunayajua mazingira ya Sanaa yalivyo, Kuna nyimbo/ wimbo utasaidiwa na producer ktk kuu- shape iwe ktk ushairi sauti au melody and Kuna mazingira unaweza kusaidiwa pia na wasanii /msanii mwenzako ktk kuuboresha huo wimbo/hizo nyimbo,

Diamond na team yake waache uchawi Wana roho mbaya sana wangese hao Huwa hawapendi kuona mtu anatoka nyuma Yao na kuachieve success, ili mtu huyo afanikiwe lazima watataka awe chini Yao , ili waweze kummonitor Asiweze kuvuka ktk level zao ,

Mfano mdogo mtizame jux ommy dimpoz and huyo Bill Nas Yaani mond kawageuza as machawa kwake na wao wametubu ili waweze kupenetrate ktk michongo Yao
😁😁😁😁
Kwa sasa Diamond anatengeneza ugodifaza kwenye industry kwa hiyo lazma aoneshe kuwa he is the industry kama alivyokuwa Ruge. Kipesa Yes kawin ila kwa ushawishi. Itamchukua muda maana bado anaonekana kama msanii na sio muendesha game
 
Naam uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom