Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba

Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba, ni yule aliokotwa mto Msimbazi akiwa anaelea huku amekatwa Kichwa
 
Hapa kuna namna tukio lilipindishwa kiaina , ili wale jamaa wasihusike !

Matukio ya hivi tutayasikia sana, uchunguzi utoke uambiwe ni imani za kirishikina ama mapenzi
 
Back
Top Bottom