Yes, jamaa alivyoingia tu madarakani alianza kuharibu kwenye sukari.Halafu hizi ishu za sukari kuadimika sio mara ya kwanza, kuna kipindi iliwahi kutokea eh,
Inasikitisha sana.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Jamaa wanatamani hata mvua isiponyesha waseme Chadema wamezuia mvua.Muda si mrefu Polepole ataanza kuwadanganya wananchi kuwa Chadema wameficha Sukari
Kumbe hua inashuka?daahh.. hii kitu miyeyusho sana, ikipanda noma, ikishuka noma, na ndio hivyo hivyo ilivyo hata kwenye miili yetu, balaa lake ukutwe na corona, yaani ni kama kumsukuma mlevi!
halafu kwenye nyomi kama hili huku waliovaa barokoa wanahesabika, aisee poleni